GET /api/v0.1/hansard/entries/1086955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1086955,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086955/?format=api",
    "text_counter": 529,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, ningependa kusema ya kwamba, jambo hili limetuwezesha kuzungumzia uchumi wa sukari ambao utaweza kuondoa zile changamoto zote ambazo zilikuwa za mambo ya sera. Tutaweza kujua sera mwafaka ambazo zitatuwezesha kuboresha kilimo cha sukari."
}