GET /api/v0.1/hansard/entries/1086956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1086956,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086956/?format=api",
    "text_counter": 530,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, najua watu ni wengi. Namuunga mkono na kumpea kongole Mhe. Wamunyinyi. Kupitia jambo hili leo, tutajivunia kufufua viwanda vyetu vyote ambavyo vilidorora ama vilikuwa vimekufa kwa sababu za kimsingi ama sababu ambazo hatuwezi kuzizungumzia kwa hivi sasa."
}