GET /api/v0.1/hansard/entries/1087310/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1087310,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087310/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Murkomen",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 440,
"legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
"slug": "kipchumba-murkomen"
},
"content": "kwa Kiswahili ni kusema kwamba ni kuwa na akili punguani. Je, ni sawa kutumia lugha kama hiyo? Haoni kwamba hiyo ni baadhi ya lugha ambayo inachangia kufanya wananchi wasijitokeze kutafuta suluhu ya magonjwa ya kimawazo? Ingefaa tuseme ya kwamba ni mtu ambaye ana ugonjwa wa kimawazo. Lakini tukisema kwamba huyu ni mtu mwenye akili punguani inamaanisha kwamba ana upungufu wa akili. Tukifanya hivyo, watu wengi wataogopa kujitokeza kusema ya kwamba wao ni wenye akili punguani. Lakini ukisema kwamba mtu ana ugonjwa wa kimawazo, lugha kama hiyo ndiyo itaweza kufanya watu wengi wajitokeze kutafuta suluhu ya kimaisha."
}