GET /api/v0.1/hansard/entries/1087349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1087349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087349/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpatia kongole ndugu yangu Sen. Cherargei wa Kaunti ya Nandi kwa hilo Ombi lake kuhusiana na wale askari ambao wanaegeza usalama wakati wa jioni. Utaona kwamba sasa hivi vitu vinawekwa pale kama chuma za kuzuia magari hata imekuwa tena sio kuzuia magari pekee yake, lakini pia wanazuia watu. Mara nyingi umeona kwamba vijana wetu ambao huwa wanaketi katika maeneo hususan wale wanatafuta riziki ambao wanaipata wakati wa jioni watu wametoka kazini wanaenda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}