GET /api/v0.1/hansard/entries/1087354/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1087354,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087354/?format=api",
"text_counter": 131,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bi Spika wa Muda. Kwa ukarimu wako mimi nasalimu amri. Wale watu ambao wanateseka zaidi ni waendeshaji wa boda boda. Ni heri kuwe na sheria ambayo itaweza kufuatwa ili wakati wakiwa wanavuka pale kwenye kizuizi, polisi wawache kuchukua hongo kutoka kwao."
}