GET /api/v0.1/hansard/entries/1087390/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1087390,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087390/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kuunga mkono Kauli iliyoletwa Bungeni na Sen. Cheruiyot. Mahakama ni huduma ya dharura kama vile huduma za afya na nyinginezo. Kwa hivyo, kufunga mahakama, hususan wakati huu wa COVID-19 ni kinyume cha Katiba na maadili. Mahakama zinaweza kukaa mahali popote. Kitu kinachohitajika ni mipango ya kuhakikisha kwamba kuna usalama na vifaa vya kutosha kuendesha mahakama hiyo kufanya kazi. Kule Mombasa, mahakama zimekaa chini ya miti na hema bila matatizo yoyote. Watu walihukumiwa na wakapata haki zao. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}