GET /api/v0.1/hansard/entries/1087391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1087391,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087391/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Wakati kulikuwa kunasikizwa kesi za jinai kule Rwanda kutokana na mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994, mahakama nyingi za kashasha zilifanywa chini ya miti ambapo wananchi walipata huduma bila matatizo yoyote. Kwa hivyo, Kufungwa kwa mahakama ya Kericho kunasababisha dhiki nyingi kwa wananchi wanaohitaji huduma katika kesi za jinai na kibinafsi ambazo zinafanywa katika mahakama hiyo."
}