GET /api/v0.1/hansard/entries/1088483/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1088483,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1088483/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Ahsante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii ya kusema katika hilo Ombi. Ombi hili ni muhimu na naliunga mkono. Kwa hakika, watu wengi wanapata shida pande zote za Kenya. Lamu sisi ndio tuna shida zaidi. Kuna hiyo"
}