GET /api/v0.1/hansard/entries/1088774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1088774,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1088774/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dkt.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda, nakubaliana na marekebisho hayo. Hatutaki Serikali kuu ikae ikiotea miradi na kuamua kuwa miradi mikubwa inaweza kufanywa wakati wowote ule. Inafaa wananchi na umma wote wajue kuwa mradi fulani utafanywa na Serikali kuu."
}