GET /api/v0.1/hansard/entries/1088783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1088783,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1088783/?format=api",
    "text_counter": 341,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": " Asante Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda. Pia mimi nataka kuchukua hii fursa kuunga mkono mabadiliko haya ili wananchi wapate kujua Serikali kuu inapanga kufanya miradi gani na pia kuweza kutofautisha miradi ambayo inafanywa na serikali zetu za kaunti na miradi inayofanywa na Serikali kuu ili kuweza kuboresha utendakazi. Asante."
}