GET /api/v0.1/hansard/entries/1089578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089578,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089578/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza nampa shukrani Sen. Were kwa kuleta Mswada huu wa uchapishaji wa taarifa na magazeti inayohusu yanayojiri katika serikali za kaunti. Ni jamabo lililokuja wakati unaofaa. Tunahitaji kuona kwamba sheria za kaunti zimeweza kukimu ili zisaidie watu walio nyumbani."
}