GET /api/v0.1/hansard/entries/1089579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089579/?format=api",
    "text_counter": 164,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Mara nyingi kumekuwa na ucheleweshaji wa kuchapisha taarifa katika serikali za ugatuzi. Imekuwa ni lazima waje Nairobi wapate kibali kutoka kwa mchapishaji wa Serikali ya Kitaifa ili taarifa zao zichapishwe katika gazeti la Serikali. Hivi sasa, tunasema kwamba pia kaunti ziwe na uwezo--- Ikiwa ndani ya serikali zao kuna mambo yanayo hijitaji kuchapishwa, itakua rahisi zaidi."
}