GET /api/v0.1/hansard/entries/1089580/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089580,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089580/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, hii ni sawa kabisa, na hakuna ukiukaji wa sheria. Mkondo kama huu unaweza kusaidia sana katika kaunti. Hapo kitambo kidogo tulipitisha kwamba kuwe na mkuu wa sheria katika serikali za ugatuzi ambaye ni county attorney. Tunapo ongea sasa, kuna wakuu wa sheria katika kaunti zote 47 Kenya. Hivi basi, ikiwa uchapishaji utapata kiongozi wa uchapishaji taarifa ambazo zitakuwa zinalemea kaunti 47, itakuwa ni sawa kabisa."
}