GET /api/v0.1/hansard/entries/1089581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089581/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, imekuwa bora kuwa katika uchapishaji wa Mswada huu, kuna watu wengi wana njia nyingi za kufanya ukora ama ufisadi. Wanaweza kuleta mambo ambayo yanaweza kuchapishwa na hatimaye hayo mambo yawe ni uongo ama hayawezi kufanyika, ilhali yanapatikana katika lile gazeti."
}