GET /api/v0.1/hansard/entries/1089583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089583/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Adhabu imepeanwa. Ikiwa mtu atakiuka sheria hii ama kutakua na uchapishaji bila ruhusa ya yule anapeana ruhusa ya kuchapisha, basi huyo huenda akalipa zaidi ya laki nzima, ama awe na kifungo. Hii itakuwa onyo kali sana. Mswada huu ukipita utasimamisha wale ambao wana nia kama hiyo."
}