GET /api/v0.1/hansard/entries/1089584/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089584,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089584/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, tunaona kuwa mchapishaji wa gazeti la kaunti ni lazima awe amesoma. Lazima awe na shadaha ambayo inahusiana na uchapishaji wa magazeti ya Serikali. Hili hi jambo muhimu kwa sababu si kila mtu anaweza kuwa mchapishaji. Kila uchapishaji unakua na taaluma yake. Ni vizuri kwamba kutakuwa na mtu ambaye amesoma katika kila kaunti. Atakua na uwezo wa kupitisha uchapishaji wa taarifa yoyote ambayo itachapishwa."
}