GET /api/v0.1/hansard/entries/1089585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089585,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089585/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, la mwisho kabisa ni uzuri wa Mswada huu ambao unaleta mwelekeo katika kaunti. Hakuna chochote kinaweza kufayika katika kaunti bila kuchapishwa. Wananchi watapewa taarifa ili wajue ni nini inayojiri na ni nini ilichapishwa na inahijati maono ya wananchi ili wajue ni njia gani watafuata katika siku za usoni."
}