GET /api/v0.1/hansard/entries/1089593/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089593,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089593/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa nafasi hii ya kuunga mkono Mswada ulioletwa na Sen. Were wa kupeleka nakala za uchapishaji katika sehemu za ugatuzi. Vile unavyojua ofisi ya Government Printer iko na kazi nyingi sana. Uchapishaji umerundika sana na umekuwa mwingi."
}