GET /api/v0.1/hansard/entries/1089597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089597,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089597/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Wale watataka kupata nakala za siku zilizopita watazipata zikiwa tayari kwa urahisi kwa sababu wataweza kuangalia uchapishaji huo ulikuwa wa tarehe gani. Kwa hivyo, itafuatiliwa na kupata rekodi ya uchapishaji huo na kurahisisha kazi."
}