GET /api/v0.1/hansard/entries/1089598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089598,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089598/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Unavyojua, ugatuzi umeletwa kwa sababu ya mambo kama hayo ili kila kaunti iweze kujisimamia na kujifanyia mambo yake. Pia, watu watapata kazi kwa wingi kwa sababu ofisi ya uchapishaji ikifunguliwa, itaajiri wafanyikazi wengi. Hii itawapa fursa watu fulani kupata kazi katika ofisi za uchapishaji."
}