GET /api/v0.1/hansard/entries/1089601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089601,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089601/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Mchapishaji wa Serikali za Kaunti. Ninauunga mkono kwa sababu umekuja katika wakati mwafaka. Tumeona kutoka ugatuzi uanze karibu miaka nane sasa, tumekuwa na changamoto nyingi za serikali za kaunti kuweza kuchapisha Miswada yao kwa wakati na kuwasilisha stakabadhi muhimu ambazo zinatumika kuendesha Serikali ya nchi."
}