GET /api/v0.1/hansard/entries/1089602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1089602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089602/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa mfano, serikali nyingi za kaunti zinapata shida kuwasilisha Miswada yake kwa mchapishaji mkuu wa Serikali na kuchapishwa kwa wakati. Swala la kuchunga sheria lina wakati maalum ambao unatakikana kufanyika. Kwa hivyo, iwapo mchapishaji wa Serikali atachelewea kuchapisha Miswada ile, taratibu zinazotakikana kufuatwa ili Mswada ule uwe sheria unachelewa na kupunguza nafasi ya serikali za kaunti kufanya kazi na kutumikia wananchi wake."
}