GET /api/v0.1/hansard/entries/1089847/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089847,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089847/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, kwa ruhusa, nasema ukweli kwamba ijapokuwa mimi ni Memba wa hii Kamati, sikubaliani na hii ripoti. Ndio sababu nimesema nitapata nafasi nanitasema. Siwezi kupiga makofi kwa sababu mtu amepoteza kazi na mimi ninaweka kidole na kusema ni sawa. Maoni yangu ni kwamba, afadhali uamuzi kama huu urudi tena katika Bunge la Seneti kwenye Kamati tuchunguze vizuri ili hao watu wapate afueni na warudi kazini."
}