GET /api/v0.1/hansard/entries/1089849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089849,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089849/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Naibu Spika. Ninatoa kauli yangu kuhusiana na ripoti hii. Nimeiangalia kwa mtazamo fagia nanikaona kwamba katika mapendekezo yao, moja nikuwa malalamiko ya walalamishi yarejeshwe katika Wizara pamoja na taasisi nyingine yakachunguzwe. Lakini, wao waliamini kwamba Bunge la Seneti ndio mahali ambapo wataleta malalamishi yao kama hatua yao ya mwisho. Kwa hivyo, mimi sikubaliani na uamuzi huo kwa sababu nikuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa."
}