GET /api/v0.1/hansard/entries/1091236/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1091236,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1091236/?format=api",
    "text_counter": 184,
    "type": "speech",
    "speaker_name": ".Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kumsifu na kumshukuru dada yangu, Sen. (Dr.) Zani, kwa kuleta Mswada huu. Mswada huu ni muhimu kwa sababu unazingatia mambo ya madini. Hii ni mara ya kwanza tunapojadili Mswada ambao una ongea juu ya mambo ya ugavi na faida ya madini yetu nchini. Mswada huu ni muhimu kwetu kama watu wa pwani na Wakenya kwa ujumla. Kuna maeneo katika Kaunti ya Kilifi ambayo yana madini ya pesa nyingi sana. Kule maeneo ya sub county ya Chonyi, tuko na madini kama manganese . Mashamba ya wakaazi wa huko Chonyi yanachimbwa mashimo makubwa ndiposa watoe"
}