GET /api/v0.1/hansard/entries/1091238/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1091238,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1091238/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": ".Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ilhali hao wakaazi hawafaidiki. Tuko na maeneo kama Kokotoni na Mazeras. Kuna ile bandari ambayo inajengwa na sio ile ya Naivasha bali ile ya Kilindini ambayo inajengwa kwa bahari. Wale wanaojenga hiyo bandari ni lazima watumie saruji na kokoto. Kokoto yote ambayo inatumika mkoani pwani inatoka eneo ya Jaribuni, eneo bunge la Ganze, na mimi ndiye Seneta wao. Watu wa eneo ya Jaribuni ambapo hizo kokoto zinatoka ni watu wanaoishi katika hali dhaifu. Wengi wao ni wangonjwa. Wakati ile mawe inapasuliwa, nyumba"
}