GET /api/v0.1/hansard/entries/1091497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1091497,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1091497/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naanza kumuomba Mola apanue mbavu zangu, anirahisishie majukumu yangu, anitatulie fundo katika ulimi wangu ili walioko waweze kufahamu yale ninayosema. Waqf kwa lugha nyingine yoyote ni kile mtu anachokitoa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Kuhusu wagf, wazee wetu wa karne zilizopita, kabla Kenya kujulikana itaitwa Kenya, walitoa mali yao na wakaamua kufuatia mafundisho ya Koran na Bwana Mtume, ambaye tunamsualia. Walifuata mafundisho katika mambo watakayo yaacha hapa na ambayo yatawaridhi. Moja wapo ni heri unayoifanya iendelee, lingine ni elimu ambayo inapatia watu faida, lingine ni mtoto The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}