GET /api/v0.1/hansard/entries/1091719/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1091719,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1091719/?format=api",
    "text_counter": 126,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "uskisema kwamba hawa watu leo hapo sio kwao wafurushwe, waende, na watoke, hilo halitakuwa jambo nzuri. Bi. Spika wa Muda, hiyo harakati ambazo Serikali imechukua, naona kwamba sio sawa na sio haki. Hususan watu wa Webuye ni lazima wapewe nafasi hiyo ili waweze kuangalia maisha yao ya usoni yatakuwa namna gani. Ile Kamati yetu ambayo inahusika na jambo hili inatakikana ichukue hatua haraka sana kuona kwamba imeleta ripoti ambayo itaweza kuwapa hawa watu wa Webuye mwelekeo. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}