GET /api/v0.1/hansard/entries/1094023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1094023,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1094023/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Mswada huu utaweka mfumo maalum ambao utasaidia kutoza asilimia fulani ya mapato ili waliadhirika na raslimali kama zile wasaidike. Nimefurahi pia kwamba katika Mswada huu, CRA imepewe jukumu la kufanya"
}