GET /api/v0.1/hansard/entries/1094066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1094066,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1094066/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bi Spika wa Muda. Ninakujua kwa ukarimu wako. Ni lazima watu wa Kaunti ya Taita Taveta wafaidike na rasilmali zao, ambazo ni ghali na zime tajirisha Wakenya wengine. Hata wengine walikuwa katika hili Bunge la Seneti mwaka wa 2013 hadi 2017. Wametajirika sana na hata kujulikana Kenya nzima. Sio Mkenya mmoja tu aliyetajirika bali ni wengi lakini sijaona ikitajirisha Mtaita hata mmoja. Ikiwa ni green granite, ruby na diamonds ambazo zinapatikana katika Milima ya Taita, basi lazima Wataita wafaidike na mali yao. Sio tuu kuingia ndani ya mashimo, kupasua kwa baruti kisha kuteseka na magonjwa na mishahara midogo. Wanaotajirika ni mabwanyenye walionunua milima hiyo halafu wanatoa madini aina ya green granite na"
}