GET /api/v0.1/hansard/entries/1094068/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1094068,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1094068/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "wanauza na kupata pesa kisha kuwaacha maskini wananchi wa Kaunti ya Taita Taveta. Katika Mswada huu, sasa tumepata uganga. Ukitibiwa na mganga na upone, huu ndio uponyaji sisi kama Wakenya katika taifa letu."
}