GET /api/v0.1/hansard/entries/109454/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 109454,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109454/?format=api",
    "text_counter": 408,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Jambo la kwanza, ninaposikia kwamba Katiba hii imeweza kuleta sheria ya kuwezesha watu kuavya mimba, nasikitika. Sidhani kwamba haya ni maoni ya wengi wa Wakenya. Iwapo uavyaji wa mimba ukiidhinishwa na sheria, vijana wengi ambao kwa sasa wameweza kuoa na hali ya uchumi imekuwa ngumu, inamaanisha kwamba mke huyo anaweza kuchukuwa hatua kwa sababu sheria inamruhusu na kwenda kuavya mimba. Lazima tukirekebishe kipengee husika au tuiondoe kutoka Katiba kielelezo."
}