GET /api/v0.1/hansard/entries/109455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 109455,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109455/?format=api",
"text_counter": 409,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Vile vile, Bw. Naibu Spika, maisha ya binadamu ni kitu muhimu, na ni lazima iheshimiwe. Naamini kwamba maisha yanaanza wakati mume na mke wanajamiana, ama wakati wanapokuwa na ile sherehe yao ya kuanza maisha au kutengeneza maisha ya mtu- --"
}