GET /api/v0.1/hansard/entries/109462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 109462,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109462/?format=api",
"text_counter": 416,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nafikiri kuwa mheshimiwa mwenzangu, ambaye yuko karibu nami, labda amechanganyikiwa. Jambo la nidhamu ingemaanisha kwamba labda mimi nina makosa na anataka kunirekebisha katika yale ambayo nachangia hapa kwenye ukumbi."
}