GET /api/v0.1/hansard/entries/109501/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 109501,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109501/?format=api",
    "text_counter": 455,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Ahsante, Bw. Naibu wa Spika. Ningependa kuchangia Hoja hii nikitambua kwamba sisi tunatoka dini mbali mbali. Hapa kuna orodha ambayo imejazwa na viongozi wote wa makanisa na dini zote katika nchi hii. Waislamu vile vile wako hapa. Wao wanasema kwamba ikiwa kweli sisi ni wacha Mungu, basi tuunge mkono na tupitishe mabadiliko haya yaliyoko hapa. Mimi ninaongea kama Mkristo ambaye anaamini kwamba Mungu baba alitoa uhai na mwanawe alikuja kutuokoa. Uhai"
}