GET /api/v0.1/hansard/entries/109503/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 109503,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109503/?format=api",
    "text_counter": 457,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "tunaotembea nao ni roho mtakatifu. Tuunge mkono hoja hii. Yale ambayo mhe. Mbarire amesema ni kweli. Ikiwa tutazaa watoto na tukose kuwalinda, basi tusiwalaumu akina mama. Tuwalinde watoto wetu ili tusiwe na mayatima katika nchi yetu."
}