GET /api/v0.1/hansard/entries/1096617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1096617,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1096617/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, suluhisho ni kumualika Waziri. Aandikiwe barua na Katibu wa Bunge aje mbele ya Kamati aelezee ni kwa nini hajapeana jibu kwa hayo mambo. Asipokuja ndipo utakuja kutafuta usaidizi zaidi. Kwa sasa, mualike Waziri siku yoyote ambayo mngetaka kama Kamati na pia mumjulishe Mhe. Abdullswamad awe katika kikao hicho. No, there is no debate on this now. Hon. Abdullswamad Nassir, it cannot be that…"
}