GET /api/v0.1/hansard/entries/1096618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1096618,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1096618/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Mhe. Spika, hatujadiliani. Langu lilikuwa ni ombi tu. Nirai. Pengine litakuwa wazo njema ikiwa watakubali kukutana na Waziri na yule Mwenyekiti ama wasimamizi wa KPA pale pale Bandarini. Itakuwa vizuri pia wakutane na wale wafanyikazi. Ukiangalia, nimetumiwa jawabu robo kabla siajingia hapa kwa sababu walijua kuwa nina nia ya kuyaleta hayo mambo. Kwa hivyo, ili lile gurudumu liwekwe oil kwa haraka, yasiwe mambo ya huyu anasema hivi na yule anasema vile, wote waitwe pale pale katika Bandari ya KPA ili wajibu na kueleza …"
}