GET /api/v0.1/hansard/entries/1096619/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1096619,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1096619/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Sio lazima Kamati iende kule. Haya mambo ya kwenda kila mahali na kurandaranda, kuna COVID-19. Hakuna haja ya kwenda Bandarini. Waziri na wale wengine wote waitwe katika Bunge. Wakati mnaenda kule, nyinyi wenyewe ndio mnaonekana kama watalii tu. You must be somewhere where you carry the authority of the House. When you start moving all over, you will be putting shades under trees and then you never know. You may find other things happening in those areas. Let us have Hon. Josphat Kabinga."
}