GET /api/v0.1/hansard/entries/1096620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1096620,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1096620/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwea, JP",
"speaker_title": "Hon. Josphat Kabinga",
"speaker": {
"id": 13441,
"legal_name": "Josphat Kabinga Wachira",
"slug": "josphat-kabinga-wachira-2"
},
"content": " Asante, Mhe. Spika. Mpango wetu ulikuwa kwanza kukutana na Waziri na pia mhusika ambaye ni mwenzetu Mhe. Nassir. Tukimsikiza Waziri na tuone hatuna suluhisho la maneno hayo, tutaona kama kuna haja ya kuwaita wale kutoka Mombasa ama sisi kwenda kule. Hili ni swali nyeti ambalo ni la uzito sana. Kwa hivyo, singetaka kusema The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}