GET /api/v0.1/hansard/entries/1097108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1097108,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1097108/?format=api",
    "text_counter": 621,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii pia mimi niunge Mswada huu mkono. Huu Mswada ni muhimu sana kwa sababu hii ni moja ya pillar zile muhimu za Serikali hii. Ya kwanza, nikiangalia ni pillar ya kuegeza viwanda ambayo ni industrialisation, matibabu poa ni jambo kubwa ambalo tumelizungumzia wakati huu ambao ni affordable health care, makao bora ambayo tunasema kwa kimombo ni affordable housing na lishe bora ambayo ni food security . The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}