GET /api/v0.1/hansard/entries/1097110/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1097110,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1097110/?format=api",
    "text_counter": 623,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Leo nachukua fursa hii nikiwa Mjumbe wa Jomvu, kuunga mkono Mswada huu. Hii ni kwa sababu tukiangalia hatuwezi kufanya mengine na makubwa ikiwa matumbo yatakuwa na njaa. Lakini pia vile vile, kando na kuweka mikakati hii ya unyunyuzaji maji, ilikuwezesha mambo ya kilimo, ni muhimu kuwa na haki bora ya kimsingi ambayo kwa kizungu tunasema fundamentalrights, kwamba ni lazima kila mwananchi aweze kupata maji katika sehemu yake."
}