GET /api/v0.1/hansard/entries/1097117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1097117,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1097117/?format=api",
    "text_counter": 630,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Mwisho kabisa, nataka kuchukuwa fursa hii kuungana na wenzangu. Sikupata nafasi kuomboleza kwa niaba yangu, familia yangu, na wananchi wote wa Jomvu, kifo cha ndugu yetu Victor. Watu wote wa Nakuru, tunawaambieni pole kwa yale ambayo yalitokea. Naunga mkono Mswada huu na kusema niko na imani Kenya yetu itaenda mbele na wananchi wetu wataondokewa na njaa. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Thank you."
}