GET /api/v0.1/hansard/entries/1097657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1097657,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1097657/?format=api",
    "text_counter": 136,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "Wabunge wenzangu, tufikirie sana mambo yaliyo mbele yetu. Hili jambo la BBI wacha liendelee kortini. Likimalizika, tutajadiliana. Ya umuhimu ni mambo mawili: Uamuzi wa Korti ya Upeo na uamuzi wako Mhe. Spika. Tupe mwelekeo tujue ni mambo yapi tunahitaji kuzingatia. Tuna mikakati ya mambo muhimu ya kusaidia nchi hii yetu. Watu wetu wako kwa shida. Iko njaa. Ng’ombe wanakufa. Hatuko tayari kwa chochote. Tunawaweka na mambo ambayo sio muhimu kwao. Mambo nyeti yaangaliwe. Nashukuru sana."
}