GET /api/v0.1/hansard/entries/1098134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098134/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "kikuu hawawezi kushiriki haya masomo ya kiufundi. La! Wanaweza kushiriki kwa sababu itawasaidia pakubwa kupata ajira na kujiajiri binanfsi katika kazi walizohitimu. Kwa sasa, taasisi chache humu nchini zinatoa masomo ya kiufundi kwa vijana ambao wamemaliza Darasa la Nane au Kidato cha Nne lakini hawakubahatika kujiunga na chuo kikuu. Kwa hivyo, Mswada huu utasaidia kuweka mfumo ambao utatoa mwongozo mzuri katika swala hili. Niko na maswala machache kuhusu ufafanuzi wa elimu ya kiufundi katika Mswada huu. Sehemu ya Pili, Kifungu cha 2 kinasema:"
}