GET /api/v0.1/hansard/entries/1098760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1098760,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098760/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Serikali yetu imekubaliana ya kwamba hatuna vifaa vya kuweza kuwazuia watu hao wanaosababisha hali ya ukosefu wa usalama. Sasa tunashidwa, ikiwa maaskari hawawezi kuzuia wahalifu hao, wanaogopa hata kuwafuata watu hao ambao tunaambiwa wameingia katika Laikipia Conservancy, mahali ambapo wanyama pori wanaishi, wamewekwa hapo na wazungu ama watu Fulani. Mifugo wanapoibiwa, wanapitishwa ndani ya Laikipia conservancy na kufichwa kule ndani. Askari wanapoambiwa wafuateni wahalifu hao ambao wameingia ndani ya"
}