GET /api/v0.1/hansard/entries/1098764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098764,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098764/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, wanajeshi wetu wabaki kwenye mipaka ya Kenya. Hapa ndani tuko na vikosi vya polisi vya kulinda wananchi. Watu wa Kaunti ya Laikipia ambao mali yao iliharibiwa wanahitaji chakula. Serikali iwajibike wakati huu wa shida kama huu na kuwapelekea vifaa vya kujikimu. Asante sana, Bi. Naibu Spika."
}