GET /api/v0.1/hansard/entries/1098815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098815/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa hii fursa kumshukuru Sen. Kinyua kwa kuleta hii Taarifa ya utovu wa usalama katika Kaunti ya Laikipia. Kwanza, ninatoa rambirambi zangu na za watu wa Kaunti ya Taita-Taveta kwa familia na watu wa Laikipia kwa kuwapoteza wapendwa wao kwa sababu ya utovu wa usalama."
}