GET /api/v0.1/hansard/entries/1098817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098817,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098817/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Natembeya pia alisema hatuwezi kuwa na polisi katika kila pembe ya Kaunti ya Laikipia au nchini Kenya. Ningependa kumpa mawaidha, kwamba ni kweli hatuwezi kuwa na polisi kila mahali. Hata hivyo, tunao ujajusi na Mkuu wa Ujasusi nchini Kenya anafanya kazi yake. Je, huo ujasusi tunaufanyia nini?"
}