GET /api/v0.1/hansard/entries/1098818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1098818,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098818/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Vile wengine wametangulia, na mimi pia nasema kuwa Kamati ya Usalama wa Nchi, Usalama na Mahusiano ya Kimataifa iwaite Waziri wa Usalama wa Ndani Nchi, Bw. Natembeya na Mkuu wa Ujasusi waje huku waelezee watahachofanya. Maisha ya watu wa Kaunti ya Laikipia yako hatarini na hatutaki kumpoteza hata mtu mmoja zaidi. Kama askari walio Kaunti ya Laikipia hawatoshi, basi tuchukue polisi kutoka maeneo mengine ya Kenya ambayo hayana shida ya usalama. Kaunti ya Taita-Taveta hatuna shida ya utovu wa usalamaa. Polisi wengi wako huko wanashika tu wananchi wa"
}